Genesis 11:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai. Mke wa Nahori aliitwa Milka, binti Harani ambaye pia alikuwa baba yake Iska.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai, naye mke wa Nahori aliitwa Milka; Milka na Iska walikuwa watoto wa Harani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abramu na Nahori wakajitwalia wake. Jina la mkewe Abramu aliitwa Sarai, na jina la mkewe Nahori aliitwa Milka, binti Harani, ambaye alikuwa baba wa Milka na wa Iska.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai. Mke wa Nahori aliitwa Milka, binti Harani ambaye pia alikuwa baba yake Iska.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai, na mke wa Nahori aliitwa Milka; Milka na Iska walikuwa watoto wa Harani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai, na mke wa Nahori aliitwa Milka; Milka na Iska walikuwa watoto wa Harani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abramu na Nahori wakajitwalia wake. Jina la mkewe Abramu aliitwa Sarai, na jina la mkewe Nahori aliitwa Milka, binti Harani, ambaye alikuwa baba wa Milka na wa Iska.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai. Mke wa Nahori aliitwa Milka, binti Harani ambaye pia alikuwa baba yake Iska.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Aburamu na Nahori wakajichukulia wanawake, mkewe Aburamu jina lake Sarai, naye mkewe Nahori jina lake Milka, binti Harani aliyekuwa baba yao Milka na Isika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abramu na Nahori wakajitwalia wake. Jina la mkewe Abramu aliitwa Sarai, na jina la mkewe Nahori aliitwa Milka, binti Harani, ambaye alikuwa baba wa Milka na wa Iska.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abramu na Nahori wakaoa. Muke wa Abramu aliitwa Sarai. Muke wa Nahori aliitwa Milka, binti ya Harani ambaye vilevile alikuwa baba ya Isika.