Genesis 11:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakaambiana, “Haya! Na tufyatue matofali, tuyachome moto vizuri.” Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakasemezana wao kwa wao, “Njooni, tufyatue matofali na tuyachome vizuri kwa moto.” Walitumia matofali badala ya mawe, na lami kuunganisha hayo matofali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakaambiana, “Haya! Na tufyatue matofali, tuyachome moto vizuri.” Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakasemezana wao kwa wao, “Njoni, tufyatue matofali na tuyachome vizuri kwa moto.” Walitumia matofali badala ya mawe, na lami kwa ajili ya kushikamanishia hayo matofali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakasemezana wao kwa wao, “Njooni, tufyatue matofali na tuyachome vizuri kwa moto.” Walitumia matofali badala ya mawe, na lami kwa ajili ya kushikamanishia hayo matofali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakaambiana, “Haya! Na tufyatue matofali, tuyachome moto vizuri.” Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakasemezana wao kwa wao: Haya! Na tuumbe matofali, tuyachome moto! Haya matofali yakawa mawe yao ya kujenga, nao udongo ukawa chokaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakaambiana: “Tufanye matofali, tuyachome kwa moto vizuri.” Walikuwa na matofali pahali pa mawe, na kabulimbo pahali pa chokaa.