Genesis 11:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mwenyezi Mungu akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu walikuwa wanaujenga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA akashuka ili auone mji na mnara wanadamu waliokuwa wanaujenga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu waliokuwa wanaujenga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana aliposhuka, autazame huo mji na mnara, wana wa Adamu walioujenga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yawe akashuka chini kuona muji ule na munara ambayo wanadamu walijenga.