Genesis 12:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, waambie kuwa wewe ni dada yangu ili mambo yaniendee vema, niachwe niishi kwa ajili yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sema wewe ni dada yangu, ili nitendewe mema kwa ajili yako, na maisha yangu yahifadhiwe kwa sababu yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tafadhali useme, wewe u ndugu yangu, iwe heri kwangu kwa ajili yako, na nafsi yangu iishi kwa ajili yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, waambie kuwa wewe ni dada yangu ili mambo yaniendee vema, niachwe niishi kwa ajili yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sema wewe ni dada yangu, ili nitendewe mema kwa ajili yako, na maisha yangu yatahifadhiwa kwa sababu yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sema wewe ni dada yangu, ili nitendewe mema kwa ajili yako, na maisha yangu yatahifadhiwa kwa sababu yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tafadhali useme, wewe u ndugu yangu, iwe heri kwangu kwa ajili yako, na nafsi yangu iishi kwa ajili yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, waambie kuwa wewe ni dada yangu ili mambo yaniendee vema, niachwe niishi kwa ajili yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo sema, ya kuwa u dada yangu, nipate mema kwa ajili yako! Hivyo ndivyo, roho yangu nayo itakavyopona kwa ajili yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tafadhali useme, wewe u ndugu yangu, iwe heri kwangu kwa ajili yako, na nafsi yangu iishi kwa ajili yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, uwaambie kwamba wewe ni dada yangu kusudi mambo yaniendee vema, niachwe niishi kwa ajili yako.”