Genesis 12:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kwa ajili yake, Farao alimfadhili Abramu, akampa kondoo, ng'ombe, punda dume, watumishi wa kiume na wa kike, punda jike na ngamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya Sarai, Farao akamtendea Abramu mema, naye Abramu akapata kondoo, ng’ombe, punda, ngamia, na watumishi wa kiume na wa kike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamtendea Abramu mema kwa ajili yake; naye alikuwa na kondoo na ng'ombe, na punda waume, na watumwa, na wajakazi, na punda wake, na ngamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kwa ajili yake, Farao alimfadhili Abramu, akampa kondoo, ng'ombe, punda dume, watumishi wa kiume na wa kike, punda jike na ngamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya Sarai, Farao akamtendea Abramu mema, akapata kondoo, ng'ombe, punda, ngamia na watumishi wa kiume na wa kike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya Sarai, Farao akamtendea Abramu mema, naye Abramu akapata kondoo, ng’ombe, punda, ngamia na watumishi wa kiume na wa kike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamtendea Abramu mema kwa ajili yake; naye alikuwa na kondoo na ng'ombe, na punda dume, na watumwa, na wajakazi, na punda majike, na ngamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kwa ajili yake, Farao alimfadhili Abramu, akampa kondoo, ng'ombe, punda dume, watumishi wa kiume na wa kike, punda jike na ngamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamfanyia Aburamu mema kwa ajili yake, akapata mbuzi na kondoo na ng'ombe na punda na watumwa wa kiume na wa kike na punda wa kike na ngamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamtendea Abramu mema kwa ajili yake; naye alikuwa na kondoo na ng’ombe, na punda waume, na watumwa, na wajakazi, na punda wake, na ngamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akamutendea Abramu mema kwa ajili ya Sarai. Akamupa kondoo, ngombe, punda dume, watumishi na wajakazi, punda dike na ngamia.