Genesis 12:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farao akamwita Abramu, akamwuliza, “Ni kitu gani hiki ulichonitendea? Mbona hukunijulisha kwamba Sarai ni mkeo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Farao akamwita Abramu, akamuuliza, “Umenifanyia nini? Kwa nini hukuniambia yeye ni mke wako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Farao akamwita Abramu, akasema, N'nini hili ulilonitendea? Mbona hukuniambia ya kuwa huyo ni mkeo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farao akamwita Abramu, akamwuliza, “Ni kitu gani hiki ulichonitendea? Mbona hukunijulisha kwamba Sarai ni mkeo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Farao akamwita Abramu, akamwuliza, “Umenifanyia nini? Kwa nini hukuniambia ni mke wako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Farao akamwita Abramu, akamuuliza, “Umenifanyia nini? Kwa nini hukuniambia ni mke wako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Farao akamwita Abramu, akasema, Ni nini hili ulilonitenda? Mbona hukuniambia ya kuwa huyo ni mkeo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farao akamwita Abramu, akamwuliza, “Ni kitu gani hiki ulichonitendea? Mbona hukunijulisha kwamba Sarai ni mkeo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Farao alipomwita Aburamu, akamwambia: Kwa nini umenifanyizia hivyo usiponiambia, ya kuwa ni mkeo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Farao akamwita Abramu, akasema, N’nini hili ulilonitendea? Mbona hukuniambia ya kuwa huyo ni mkeo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akamwita Abramu, akamwuliza: “Ni kitu gani hiki ulichonitendea? Mbona haukunijulisha kwamba Sarai ni muke wako?