Genesis 12:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kulikuza jina lako, nawe uwe baraka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitakufanya taifa kubwa na nitakubariki, Nitalikuza jina lako, nawe utakuwa baraka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kulikuza jina lako, nawe uwe baraka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mimi nitakufanya taifa kubwa na nitakubariki, Nitalikuza jina lako, nawe utakuwa baraka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mimi nitakufanya taifa kubwa na nitakubariki, Nitalikuza jina lako, nawe utakuwa baraka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kulikuza jina lako, nawe uwe baraka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakufanya kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kulikuza jina lako, uwe mbaraka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kutukuza jina lako, nawe utakuwa baraka.