Genesis 12:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawabariki wale wanaokubariki, na yeyote akulaaniye nitamlaani; na kupitia kwako mataifa yote duniani yatabarikiwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawabariki wale wanaokubariki, na ye yote akulaaniye nitamlaani; na kupitia kwako mataifa yote duniani yatabarikiwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawabariki wale wanaokubariki, na yeyote akulaaniye nitamlaani; na kupitia kwako mataifa yote duniani yatabarikiwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawabariki watakaokubariki, naye atakayekuapiza nitamwapiza. Mwako ndimo, koo zote za nchini zitakamobarikiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayekubariki, nitamubariki, anayekulaani, nitamulaani. Kwa njia yako, nitabariki mataifa yote ya dunia.”