Genesis 13:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abramu akarudi kutoka Misri, akaingia upande wa Negebu. Alikuwa na mkewe na mali yake yote pamoja na Loti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Abramu akakwea kutoka Misri kwenda Negebu, na mkewe na kila kitu alichokuwa nacho; pia Lutu akaenda pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abramu akapanda kutoka Misri, yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, mpaka kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abramu akarudi kutoka Misri, akaingia upande wa Negebu. Alikuwa na mkewe na mali yake yote pamoja na Loti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Abramu akakwea kutoka Misri kwenda Negebu, yeye na mkewe na kila kitu alichokuwa nacho, pia Loti akaenda pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Abramu akakwea kutoka Misri kwenda Negebu, yeye na mkewe na kila kitu alichokuwa nacho, pia Lutu akaenda pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abramu akapanda kutoka Misri, yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, mpaka kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abramu akarudi kutoka Misri, akaingia upande wa Negebu. Alikuwa na mkewe na mali yake yote pamoja na Loti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Aburamu alipotoka Misri kwenda kwao upande wa kusini, yeye na mkewe nao wote, aliokuwa nao, hata Loti alikuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abramu akapanda kutoka Misri, yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, mpaka kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abramu akarudi kutoka Misri, akaingia upande wa Negebu. Alikuwa na muke wake na mali yake yote pamoja na Loti.