Genesis 13:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, Loti akajichagulia bonde lote la mto Yordani, akaelekea mashariki, na hivyo wakatengana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Lutu akajichagulia bonde lote la Yordani, akaelekea upande wa mashariki. Watu hao wawili wakatengana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Lutu akajichagulia Bonde lote la Yordani; Lutu akasafiri kwenda upande wa mashariki; wakatengana wao kwa wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, Loti akajichagulia bonde lote la mto Yordani, akaelekea mashariki, na hivyo wakatengana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Loti akajichagulia bonde lote la Yordani, akaelekea upande wa mashariki. Watu hao wawili wakatengana:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Lutu akajichagulia bonde lote la Yordani, akaelekea upande wa mashariki. Watu hao wawili wakatengana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Lutu akajichagulia Bonde lote la Yordani; Lutu akasafiri kwenda upande wa mashariki; wakatengana wao kwa wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, Loti akajichagulia bonde lote la mto Yordani, akaelekea mashariki, na hivyo wakatengana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Loti akajichagulia hilo bonde zima la Yordani, kisha Loti akaondoka kwenda huo upande wa maawioni kwa jua. Hivyo ndivyo, hao ndugu walivyotengana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Lutu akajichagulia Bonde lote la Yordani; Lutu akasafiri kwenda upande wa mashariki; wakatengana wao kwa wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Loti akajichagulia bonde lote la muto Yordani, akaelekea upande wa mashariki, na hivyo wakatengana.