Genesis 13:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abramu akabaki nchini Kanaani na Loti akakaa kati ya miji iliyokuwa bondeni, akahamishia kambi yake Sodoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abramu aliishi nchi ya Kanaani, naye Lutu akaishi miongoni mwa miji ya lile bonde na kupiga mahema yake karibu na Sodoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abramu akakaa katika nchi ya Kanaani, na Lutu akakaa katika miji ya lile Bonde; akajongeza hema yake mpaka Sodoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abramu akabaki nchini Kanaani na Loti akakaa kati ya miji iliyokuwa bondeni, akahamishia kambi yake Sodoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abramu akaishi katika nchi ya Kanaani, wakati Loti aliishi miongoni mwa miji ya lile bonde na kupiga mahema yake karibu na Sodoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abramu akaishi katika nchi ya Kanaani, wakati Lutu aliishi miongoni mwa miji ya lile bonde na kupiga mahema yake karibu na Sodoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abramu akakaa katika nchi ya Kanaani, na Lutu akakaa katika miji ya lile Bonde; akajongeza hema yake mpaka Sodoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abramu akabaki nchini Kanaani na Loti akakaa kati ya miji iliyokuwa bondeni, akahamishia kambi yake Sodoma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aburamu akakaa katika nchi ya Kanaani, naye Loti akakaa katika miji ya hilo bonde, akaenda kuyapiga mahema yake mpaka Sodomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abramu akakaa katika nchi ya Kanaani, na Lutu akakaa katika miji ya lile Bonde; akajongeza hema yake mpaka Sodoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abramu akabaki katika inchi ya Kanana na Loti akakaa kati ya miji iliyokuwa katika bonde, akahamishia kambi yake Sodoma.