Genesis 13:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaendelea kusafiri toka eneo la Negebu hadi Betheli. Alifika mahali alipokuwa amepiga kambi ya hema hapo awali, kati ya Betheli na Ai,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka Negebu, akasafiri sehemu mbalimbali hadi akafika Betheli, mahali ambapo mwanzoni alipiga hema lake kati ya Betheli na Ai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaendelea kusafiri kutoka kusini mpaka Betheli, mahali pale palipokuwapo hema yake kwanza kati ya Betheli na Ai;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaendelea kusafiri toka eneo la Negebu hadi Betheli. Alifika mahali alipokuwa amepiga kambi ya hema hapo awali, kati ya Betheli na Ai,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka Negebu, akapita mahali hadi mahali, hadi akafika Betheli, mahali hapo ambapo mwanzoni alipiga hema lake kati ya Betheli na Ai
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka Negebu, akapita mahali hadi mahali, hadi akafika Betheli, mahali hapo ambapo mwanzoni alipiga hema lake kati ya Betheli na Ai
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaendelea kusafiri kutoka kusini mpaka Betheli, mahali pale palipokuwapo hema yake kwanza, kati ya Betheli na Ai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaendelea kusafiri toka eneo la Negebu hadi Betheli. Alifika mahali alipokuwa amepiga kambi ya hema hapo awali, kati ya Betheli na Ai,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaendelea kusafiri hapohapo upande wa kusini mpaka kufika Beteli mahali pale, hema lake lilipokuwa kwanza katikati ya Beteli na Ai;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaendelea kusafiri kutoka kusini mpaka Betheli, mahali pale palipokuwapo hema yake kwanza kati ya Betheli na Ai;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaendelea kusafiri toka eneo la Negebu mpaka Beteli. Alifika pahali alipokuwa amepiga kambi ya hema mara ya kwanza kati ya Beteli na Ai,