Genesis 13:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambapo alikuwa amejenga madhabahu. Hapo Abramu akamwomba Mwenyezi-Mungu kwa jina lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pale alipokuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
napo ndipo palipokuwa na madhabahu aliyofanya hapo kwanza; naye Abramu akaliitia jina la Bwana hapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambapo alikuwa amejenga madhabahu. Hapo Abramu akamwomba Mwenyezi-Mungu kwa jina lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hapo ambapo alikuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hapo ambapo alikuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
napo ndipo palipokuwa na madhabahu aliyofanya hapo kwanza; naye Abramu akaliitia jina la BWANA hapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambapo alikuwa amejenga madhabahu. Hapo Abramu akamwomba Mwenyezi-Mungu kwa jina lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo hapo, Aburamu alipojenga pa kwanza pa kumtambikia Bwana na kulitambikia Jina lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
napo ndipo palipokuwa na madhabahu aliyofanya hapo kwanza; naye Abramu akaliitia jina la BWANA hapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pahali ambapo alikuwa amejenga mazabahu. Pale Abramu akamwomba Yawe kwa jina lake.