Genesis 13:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kadhalika, Loti, ambaye alifuatana na Abramu, alikuwa na kondoo, mifugo na hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Lutu, aliyekuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na mifugo na mahema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Lutu aliyesafiri pamoja na Abramu, yeye naye alikuwa na makundi ya ng'ombe na kondoo, na hema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kadhalika, Loti, ambaye alifuatana na Abramu, alikuwa na kondoo, mifugo na hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Loti, ambaye alikuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na makundi ya mbuzi, kondoo, ng'ombe na mahema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Lutu, ambaye alikuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na makundi ya mbuzi, kondoo, ng’ombe na mahema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Lutu aliyesafiri pamoja na Abramu, yeye naye alikuwa na makundi ya ng'ombe na kondoo, na hema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kadhalika, Loti, ambaye alifuatana na Abramu, alikuwa na kondoo, mifugo na hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Loti naye aliyesafiri pamoja na Aburamu alikuwa mwenye mbuzi na kondoo na ng'ombe na mahema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Lutu aliyesafiri pamoja na Abramu, yeye naye alikuwa na makundi ya ng’ombe na kondoo, na hema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Loti, ambaye alikwenda pamoja na Abramu, alikuwa na kondoo, na makundi mengi ya nyama na hema.