Genesis 14:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimteka hata Loti, mwana wa nduguye Abramu aliyekuwa anakaa Sodoma, pamoja na mali yake, wakaenda zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia walimteka Lutu, mwana wa ndugu yake Abramu, pamoja na mali yake, kwa kuwa alikuwa akiishi Sodoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamtwaa Lutu, mwana wa nduguye Abramu, aliyekaa huko Sodoma, na mali yake, wakaenda zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimteka hata Loti, mwana wa nduguye Abramu aliyekuwa anakaa Sodoma, pamoja na mali yake, wakaenda zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia walimteka Loti mwana wa ndugu yake Abramu pamoja na mali zake, kwa kuwa alikuwa akiishi Sodoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia walimteka Lutu mwana wa ndugu yake Abramu pamoja na mali zake, kwa kuwa alikuwa akiishi Sodoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamtwaa Lutu, mwana wa nduguye Abramu, aliyekaa huko Sodoma, na mali zake, wakaenda zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimteka hata Loti, mwana wa nduguye Abramu aliyekuwa anakaa Sodoma, pamoja na mali yake, wakaenda zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Loti, mwana wa nduguye Aburamu, wakamteka na mapato yake, wakenda zao, kwani alikaa Sodomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamtwaa Lutu, mwana wa nduguye Abramu, aliyekaa huko Sodoma, na mali yake, wakaenda zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamukamata hata Loti mwana wa ndugu ya Abramu aliyekuwa anakaa Sodoma, pamoja na mali yake, wakajiendea.