Genesis 14:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, aliyeumba mbingu na dunia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, “Nimeinua mkono wangu kwa Mwenyezi Mungu, Mungu Aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na dunia, na nimeapa
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua mkono wangu kwa Bwana, Mungu Aliye juu sana, Muumba mbingu na nchi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, aliyeumba mbingu na dunia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, “Nimeinua mkono wangu kwa BWANA, Mungu Aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na dunia, na nimeapa
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, “Nimeinua mkono wangu kwa bwana, Mungu Aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na dunia, na nimeapa
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua mkono wangu kwa BWANA, Mungu Aliye Juu sana, Muumba mbingu na nchi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, aliyeumba mbingu na dunia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Aburamu akamwambia mfalme wa Sodomu: Mkono wangu namnyoshea Bwana Mungu alioko huko juu, aliye mwenye mbingu na nchi, kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua mkono wangu kwa BWANA, Mungu Aliye juu sana, Muumba mbingu na nchi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Abramu akamwambia mufalme wa Sodoma: “Ninaapa kwa Yawe, Mungu Mukubwa, aliyeumba mbingu na dunia,