Genesis 14:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwamba sitachukua uzi au kamba ya kiatu, wala chochote kilicho chako, usije ukajivuna na kusema kwamba umenitajirisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwamba sitapokea kitu chochote kilicho chako, hata kama ni uzi au gidamu ya kiatu, ili kamwe usije ukasema, ‘Nimemtajirisha Abramu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala cho chote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwamba sitachukua uzi au kamba ya kiatu, wala chochote kilicho chako, usije ukajivuna na kusema kwamba umenitajirisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwamba sitapokea kitu cho chote kilicho chako, hata kama ni uzi au gidamu ya kiatu, ili kamwe usije ukasema, ‘Nimemtajirisha Abramu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwamba sitapokea kitu chochote kilicho chako, hata kama ni uzi au gidamu ya kiatu, ili kamwe usije ukasema, ‘Nimemtajirisha Abramu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala chochote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwamba sitachukua uzi au kamba ya kiatu, wala chochote kilicho chako, usije ukajivuna na kusema kwamba umenitajirisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mali zote zilizo zako sitachukua uzi wala kikanda tu cha kiatu, usiseme: Aburamu mali zake nyingi nimempa mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala cho chote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwamba sitatwaa uzi au kamba ya kiatu, wala chochote kinachokuwa chako, kusudi usijivune na kusema kwamba umenitajirisha.