Genesis 14:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, sitachukua chochote isipokuwa tu vile vitu vijana wangu walivyokula na sehemu ya wale waliokuwa pamoja nami, Aneri, Eshkoli na Mamre ambao wana haki nayo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sitapokea chochote, ila kile tu watu wangu walichokula, na sehemu ambayo ni fungu la watu walioenda pamoja nami, ambao ni Aneri, Eshkoli na Mamre. Wao na wapewe fungu lao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
isipokuwa hivyo walivyokula vijana, na sehemu za watu waliokwenda nami, yaani, Aneri, na Eshkoli, na Mamre; na watwae wao sehemu zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, sitachukua chochote isipokuwa tu vile vitu vijana wangu walivyokula na sehemu ya wale waliokuwa pamoja nami, Aneri, Eshkoli na Mamre ambao wana haki nayo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sitapokea cho chote, ila kile tu watu wangu walichokula na sehemu ambayo ni fungu la watu waliokwenda pamoja nami, ambao ni Aneri, Eshkoli na Mamre. Wao na wapewe fungu lao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sitapokea chochote, ila kile tu watu wangu walichokula na sehemu ambayo ni fungu la watu waliokwenda pamoja nami, ambao ni Aneri, Eshkoli na Mamre. Wao na wapewe fungu lao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
isipokuwa hivyo walivyokula vijana, na sehemu za watu waliokwenda nami, yaani, Aneri, na Eshkoli, na Mamre; na watwae wao sehemu zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, sitachukua chochote isipokuwa tu vile vitu vijana wangu walivyokula na sehemu ya wale waliokuwa pamoja nami, Aneri, Eshkoli na Mamre ambao wana haki nayo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa vijana tu wape chakula chao! Nao waume hawa waliokwenda pamoja nami, Aneri na Eskoli na Mamure, wao na wayachukue mafungu yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
isipokuwa hivyo walivyokula vijana, na sehemu za watu waliokwenda nami, yaani, Aneri, na Eshkoli, na Mamre; na watwae wao sehemu zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, sitatwaa kitu chochote isipokuwa tu vile vitu ambayo vijana wangu walikula na sehemu ya wale waliokuwa pamoja nami – Aneri, Eskoli na Mamure – ambao wana haki nayo.”