Genesis 15:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abramu akamletea hao wote, akamkata kila mnyama vipande viwili, akavipanga katika safu mbili, vikielekeana; lakini ndege hakuwakata vipande viwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abramu akamletea hivi vyote, akampasua kila mnyama vipande viwili, akavipanga kila kimoja kuelekea mwenzake, lakini hata hivyo ndege hakuwapasua vipande viwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akampatia hao wote, akawapasua vipande viwili, akaweka kila kipande kuelekea mwenzake, ila ndege hakuwapasua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abramu akamletea hao wote, akamkata kila mnyama vipande viwili, akavipanga katika safu mbili, vikielekeana; lakini ndege hakuwakata vipande viwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abramu akamletea hivi vyote, akampasua kila mnyama vipande viwili, akavipanga kila kimoja kuelekea mwenzake, lakini hata hivyo ndege, hakuwapasua vipande viwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abramu akamletea hivi vyote, akampasua kila mnyama vipande viwili, akavipanga kila kimoja kuelekea mwenzake, lakini hata hivyo ndege, hakuwapasua vipande viwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akampatia hao wote, akawapasua vipande viwili, akaweka kila kipande kuelekea mwenzake, ila ndege hakuwapasua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abramu akamletea hao wote, akamkata kila mnyama vipande viwili, akavipanga katika safu mbili, vikielekeana; lakini ndege hakuwakata vipande viwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kumpatia hao wote, akawapasua kati, akayaweka manusu ya kila nyama upande upande, yaelekeane, lakini ndege hakuwapasua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akampatia hao wote, akawapasua vipande viwili, akaweka kila kipande kuelekea mwenzake, ila ndege hakuwapasua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abramu akamuletea hao wote, akakata kila nyama vipande viwili, akavipanga katika mistari miwili, vikielekeana. Lakini ndege hakuwakata vipande viwili.