Genesis 15:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jua lilipokuwa likitua, Abramu alishikwa na usingizi mzito; hofu na giza nene vikamfunika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, na giza nene na la kutisha likaja juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jua lilipokuwa likichwa usingizi mzito ulimshika Abramu, hofu ya giza kuu ikamwangukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jua lilipokuwa likitua, Abramu alishikwa na usingizi mzito; hofu na giza nene vikamfunika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, giza nene na la kutisha likaja juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, giza nene na la kutisha likaja juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jua lilipokuwa likichwa usingizi mzito ulimshika Abramu, hofu ya giza kuu ikamwangukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jua lilipokuwa likitua, Abramu alishikwa na usingizi mzito; hofu na giza nene vikamfunika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini jua lilipoingia, usingizi mzito ukampata Aburamu, mara akastushwa na giza kuu lililomguia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jua lilipokuwa likichwa usingizi mzito ulimshika Abramu, hofu ya giza kuu ikamwangukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jua lilipokuwa likitua, Abramu akashikwa na usingizi muzito. Hofu na giza nene vikamufunika.