Genesis 15:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, nitaliadhibu taifa watakalolitumikia, na hatimaye watatoka wakiwa na mali nyingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nitaliadhibu taifa lile watakalolitumikia kama watumwa, na baadaye watatoka huko na mali nyingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata na taifa lile, watakaowatumikia, nitawahukumu; baadaye watatoka na mali mengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, nitaliadhibu taifa watakalolitumikia, na hatimaye watatoka wakiwa na mali nyingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nitaliadhibu taifa lile wanaolitumikia kama watumwa, hatimaye watatoka huko na mali nyingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nitaliadhibu taifa lile watakalolitumikia kama watumwa, na baadaye watatoka huko na mali nyingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata na taifa lile, watakaowatumikia, nitawahukumu; baadaye watatoka na mali nyingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, nitaliadhibu taifa watakalolitumikia, na hatimaye watatoka wakiwa na mali nyingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wale wamizimu, ambao watawatumikia, mimi nitawahukumu, kisha wao watapata kutoka wenye mapato mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata na taifa lile, watakaowatumikia, nitawahukumu; baadaye watatoka na mali mengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, nitaazibu taifa watakalotumikia na kwa mwisho watatoka wakiwa na mali nyingi.