Genesis 15:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyekuleta toka Uri, mji wa Wakaldayo, ili nikupe nchi hii uimiliki.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akamwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, niliyekutoa Uru ya Wakaldayo nikupe nchi hii uimiliki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akamwambia, Mimi ni Bwana, niliyekuleta kutoka Uru wa Wakaldayo nikupe nchi hii ili uirithi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyekuleta toka Uri, mji wa Wakaldayo, ili nikupe nchi hii uimiliki.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akamwambia, “Mimi ndimi BWANA, niliyekutoa toka Uru ya Wakaldayo nikupe nchi hii uimiliki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akamwambia, “Mimi ndimi bwana, niliyekutoa toka Uru ya Wakaldayo nikupe nchi hii uimiliki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akamwambia, Mimi ni BWANA, niliyekuleta kutoka Uru wa Wakaldayo nikupe nchi hii ili uimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyekuleta toka Uri, mji wa Wakaldayo, ili nikupe nchi hii uimiliki.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamwambia: Mimi ni Bwana, nimekutoa kule Uri wa Wakasidi, nikupe nchi hii, uichukue kuwa yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akamwambia, Mimi ni BWANA, niliyekuleta kutoka Uru wa Wakaldayo nikupe nchi hii ili uirithi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamwambia Abramu: “Mimi ni Yawe niliyekuleta toka Uri, muji wa Wakaldea, kusudi nikupe inchi hii uirizi.”