Genesis 15:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Abramu akamwambia, “Ee Mwenyezi-Mungu, nitajuaje kwamba nitaimiliki nchi hii?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Abramu akasema, “Ee Bwana Mungu Mwenyezi, nitawezaje kujua kwamba nitaimiliki?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Ee Bwana MUNGU, nipateje kujua ya kwamba nitairithi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Abramu akamwambia, “Ee Mwenyezi-Mungu, nitajuaje kwamba nitaimiliki nchi hii?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Abramu akasema, “Ee BWANA Mwenyezi, nitawezaje kujua kwamba nitapata kuimiliki?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Abramu akasema, “Ee bwana Mwenyezi, nitawezaje kujua kwamba nitapata kuimiliki?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Ee Bwana MUNGU, nipateje kujua ya kwamba nitaimiliki?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Abramu akamwambia, “Ee Mwenyezi-Mungu, nitajuaje kwamba nitaimiliki nchi hii?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwuliza: Bwana Mungu, nitajua namna gani, ya kuwa nitaichukua kuwa yangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Ee Bwana MUNGU, nipateje kujua ya kwamba nitairithi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Abramu akamwambia: “Ee Yawe, nitajua namna gani kwamba nitarizi inchi hii?”