Genesis 16:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Abramu akamwambia Sarai, “Mjakazi wako yuko chini ya mamlaka yako; mfanyie upendavyo.” Basi, Sarai akamtesa Hagari mpaka akatoroka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abramu akamwambia, “Haya, mtumishi wako yuko mkononi mwako. Mtendee lolote utakalo!” Ndipo Sarai akamtesa Hajiri, naye akamtoroka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Abramu akamwambia Sarai, Tazama, mjakazi wako yu mkononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa, naye akakimbia kutoka mbele yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Abramu akamwambia Sarai, “Mjakazi wako yuko chini ya mamlaka yako; mfanyie upendavyo.” Basi, Sarai akamtesa Hagari mpaka akatoroka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abramu akamwambia, “Mtumishi wako yuko mikononi mwako. Mtendee lo lote unalofikiri ni bora zaidi.” Ndipo Sarai akamtesa Hagari, hivyo akamtoroka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abramu akamwambia, “Mtumishi wako yuko mikononi mwako. Mtendee lolote unalofikiri ni bora zaidi.” Ndipo Sarai akamtesa Hagari, hivyo akamtoroka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Abramu akamwambia Sarai, Tazama, mjakazi wako yu mikononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa, naye akakimbia kutoka mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Abramu akamwambia Sarai, “Mjakazi wako yuko chini ya mamlaka yako; mfanyie upendavyo.” Basi, Sarai akamtesa Hagari mpaka akatoroka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Aburamu akamwambia Sarai: Tazama, kijakazi wako yumo mkononi mwako! Mfanyizie yaliyo mema machoni pako! Lakini Sarai alipomnyenyekeza, akatoroka usoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Abramu akamwambia Sarai, Tazama, mjakazi wako yu mkononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa, naye akakimbia kutoka mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Abramu akamwambia Sarai: “Mujakazi wako yuko chini ya mamlaka yako. Umutendee jinsi unavyopenda.” Basi, Sarai akamutesa Hagari mpaka akatoroka.