Genesis 16:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu akamwambia, “Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malaika wa Bwana akamwambia, Rudi kwa bibi yako, ukanyenyekee chini ya mikono yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo malaika wa BWANA akamwambia, “Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo malaika wa bwana akamwambia, “Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malaika wa BWANA akamwambia, Rudi kwa bimkubwa wako, ukanyenyekee chini ya mikono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, malaika wa Bwana alipomwambia: Rudi kwa bibi yako na kuunyenyekea mkono wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malaika wa BWANA akamwambia, Rudi kwa bibi yako, ukanyenyekee chini ya mikono yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule malaika wa Yawe akamwambia: “Rudi kwa bibi mukubwa wako Sarai na umutii.”