Genesis 17:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini agano langu litathibitika kwa Isaka ambaye Sara atakuzalia mwakani wakati kama huu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini agano langu nitalithibitisha kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia mwaka ujao majira kama haya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini agano langu litathibitika kwa Isaka ambaye Sara atakuzalia mwakani wakati kama huu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Agano langu nitalithibitisha kwa Isaki, ambaye Sara atakuzalia mwaka ujao majira kama haya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Agano langu nitalithibitisha kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia mwaka ujao majira kama haya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini agano langu litathibitika kwa Isaka ambaye Sara atakuzalia mwakani wakati kama huu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini lile Agano langu nitamsimamishia Isaka, Sara atakayekuzalia siku zizi hizi za mwaka ujao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini agano langu litasimama kwa Isaka ambaye Sara atakuzalia katika mwaka kwa wakati kama huu.”