Genesis 17:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na wanaume wote wa nyumba yake, watumwa wote waliozaliwa nyumbani mwake na walionunuliwa kwa fedha zake walitahiriwa siku hiyohiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wote nyumbani mwa Ibrahimu, waliozaliwa nyumbani mwake na walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa wageni, walitahiriwa pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wote wa nyumba yake, wazaliwa nyumbani, na wanunuliwa kwa fedha katika mkono wa mgeni, wakatahiriwa pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na wanaume wote wa nyumba yake, watumwa wote waliozaliwa nyumbani mwake na walionunuliwa kwa fedha zake walitahiriwa siku hiyohiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mwanaume nyumbani mwa Abrahamu, pamoja na wote waliozaliwa nyumbani mwake au aliyenunuliwa kutoka kwa mgeni, alitahiriwa pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mwanaume nyumbani mwa Ibrahimu, pamoja na wote waliozaliwa nyumbani mwake au aliyenunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni, alitahiriwa pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wote wa nyumba yake, wazaliwa nyumbani, na wanunuliwa kwa fedha katika mkono wa mgeni, wakatahiriwa pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na wanaume wote wa nyumba yake, watumwa wote waliozaliwa nyumbani mwake na walionunuliwa kwa fedha zake walitahiriwa siku hiyohiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waume wote wa nyumbani mwake, wazalia wa nyumbani nao, aliowanunua kwa fedha kwa watu wasio wa kabila lake, wote walitahiriwa pamoja naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wote wa nyumba yake, wazaliwa nyumbani, na wanunuliwa kwa fedha katika mkono wa mgeni, wakatahiriwa pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na wanaume wote wa nyumba yake, watumwa wote waliozaliwa katika nyumba yake na wote walionunuliwa kwa feza zake walitahiriwa siku hiyohiyo.