Genesis 17:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tangu sasa, hutaitwa tena Abramu, bali utaitwa Abrahamu, maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Ibrahimu, kwa maana nimekufanya baba wa mataifa mengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tangu sasa, hutaitwa tena Abramu, bali utaitwa Abrahamu, maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu, kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Ibrahimu, kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Abrahamu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tangu sasa, hutaitwa tena Abramu, bali utaitwa Abrahamu, maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo usiitwe tena jina lako Aburamu (Baba mtukufu), ila jina lako liwe Aburahamu (Baba yao wengi)! Kwani nimekuweka kuwa baba yao mataifa mengi ya watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tangu sasa, hautaitwa tena Abramu, lakini utaitwa Abrahamu, maana nimekufanya kuwa baba ya mataifa mengi.