Genesis 18:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu akawaza: Je, nimfiche Abrahamu jambo ambalo nimepanga kutenda?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Mwenyezi Mungu akasema, “Je, nimfiche Ibrahimu jambo ninalokusudia kufanya?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akanena, Je! Nimfiche Ibrahimu jambo nilifanyalo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu akawaza: Je, nimfiche Abrahamu jambo ambalo nimepanga kutenda?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo BWANA akasema, “Je, nimfiche Abrahamu jambo ninalokusudia kufanya?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo bwana akasema, “Je, nimfiche Ibrahimu jambo ninalokusudia kufanya?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akasema, Je! Nimfiche Abrahamu jambo ambalo ninataka kulifanya,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu akawaza: Je, nimfiche Abrahamu jambo ambalo nimepanga kutenda?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akasema: Nitamfichaje Aburahamu ninayotaka kuyafanya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akanena, Je! Nimfiche Ibrahimu jambo nilifanyalo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe akawaza: “Nimufiche Abrahamu jambo ambalo nimepanga kutenda?