Genesis 18:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo nitashuka kwenda huko nijionee mwenyewe kama kweli wamefanya kadiri ya kilio kilichonifikia. Nataka kujua.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hivyo nitashuka nione kama waliyoyatenda ni mabaya kiasi cha kilio kilichonifikia. Kama sivyo, nitajua.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo nitashuka kwenda huko nijionee mwenyewe kama kweli wamefanya kadiri ya kilio kilichonifikia. Nataka kujua.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwamba nitashuka nione kama waliyoyatenda ni mabaya kiasi cha kilio kilichonifikia. Kama sivyo, nitajua.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwamba nitashuka nione kama waliyoyatenda ni mabaya kiasi cha kilio kilichonifikia. Kama sivyo, nitajua.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo nitashuka kwenda huko nijionee mwenyewe kama kweli wamefanya kadiri ya kilio kilichonifikia. Nataka kujua.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimeshuka, nitazame, kama hayo yote, ambayo niliyasikia makelele yao, wameyafanya kweli, au kama hawakuyafanya, nijue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo nitashuka kwenda kule nijionee mwenyewe kama kweli wamefanya kadiri ya kilio kilichonifikia. Ninataka kujua.”