Genesis 18:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu akamsogelea, akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Abrahamu akamsogelea akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Ibrahimu akamsogelea akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aburahamu akafika karibu, akauliza: Utamwondoa mwongofu pamoja naye asiyekucha?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Abrahamu akamukaribia Yawe, akamwuliza: “Ni kweli utawaangamiza watu wa haki pamoja na waovu?