Genesis 18:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu akarudi haraka hemani akamwambia Sara, “Tayarisha haraka vipimo vitatu vya unga bora, uukande, uoke mikate.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Ibrahimu akaharakisha akaingia kwenye hema kwa Sara, akamwambia, “Chukua vipimo vitatu vya unga laini haraka, ukande na uoke mikate.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu akarudi haraka hemani akamwambia Sara, “Tayarisha haraka vipimo vitatu vya unga bora, uukande, uoke mikate.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Abrahamu akaharakisha akaingia hemani kwa Sara. Akasema, “Chukua vipimo vitatu vya unga laini haraka, ukande na uoke mikate.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Ibrahimu akaharakisha akaingia hemani kwa Sara, akamwambia, “Chukua vipimo vitatu vya unga laini haraka, ukande na uoke mikate.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Abrahamu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Tayarisha haraka vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu akarudi haraka hemani akamwambia Sara, “Tayarisha haraka vipimo vitatu vya unga bora, uukande, uoke mikate.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aburahamu akaingia upesi hemani kwa Sara, akamwambia: Chukua upesi pishi sita za unga mwembamba uliochungwa vema, uukande, utengeneze mikate!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abrahamu akarudi haraka ndani ya hema akamwambia Sara: “Tayarisha haraka vipimo vitatu vya unga bora, uuponde, uchome mikate.”