Genesis 18:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akatoka haraka akaenda kwenye kundi la ng'ombe, akachagua ndama mmoja mzuri na mnono, akamkabidhi mtumishi ambaye aliharakisha kumchinja na kumpika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Ibrahimu akakimbia kwenye kundi, akachagua ndama mzuri laini, na akampa mtumishi, ambaye aliharakisha kumtayarisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akatoka haraka akaenda kwenye kundi la ng'ombe, akachagua ndama mmoja mzuri na mnono, akamkabidhi mtumishi ambaye aliharakisha kumchinja na kumpika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akakimbia kwenda kwenye kundi akachagua ndama mzuri, laini na akampa mtumishi, ambaye aliharakisha kumtayarisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Ibrahimu akakimbia kwenda kwenye kundi, akachagua ndama mzuri, laini na akampa mtumishi, ambaye aliharakisha kumtayarisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akaharakisha kuiandaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akatoka haraka akaenda kwenye kundi la ng'ombe, akachagua ndama mmoja mzuri na mnono, akamkabidhi mtumishi ambaye aliharakisha kumchinja na kumpika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Aburahamu akapiga mbio kwenda kwenye ng'ombe, akachukua ndama mwanana mwenye nyama nzuri, akampa kijana, naye akaenda kuitengeneza vizuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng’ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akatoka haraka akakwenda kwenye kundi la ngombe, akachagua mwana-ngombe mumoja muzuri na munono, akamupatia mutumishi ambaye aliharakisha kumuchinja na kumupika.