Genesis 18:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wageni wakamwuliza, “Mkeo Sara yuko wapi?” Abrahamu akawajibu, “Yumo hemani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamuuliza, “Yuko wapi Sara mkeo?” Akasema, “Yuko ndani ya hema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia, Yu wapi Sara mkeo? Akasema, Yumo hemani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wageni wakamwuliza, “Mkeo Sara yuko wapi?” Abrahamu akawajibu, “Yumo hemani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwuliza, “Yuko wapi Sara mkeo?” Akasema, “Yuko huko, ndani ya hema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamuuliza, “Yuko wapi Sara mkeo?” Akasema, “Yuko huko, ndani ya hema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia, Yu wapi Sara mkeo? Akasema, Yumo hemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wageni wakamwuliza, “Mkeo Sara yuko wapi?” Abrahamu akawajibu, “Yumo hemani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakamwuliza: Mkeo Sara yuko wapi? Akajibu: Yumo hemani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia, Yu wapi Sara mkeo? Akasema, Yumo hemani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wageni wakamwuliza: “Muke wako Sara yuko wapi?” Abrahamu akawajibu: “Yuko ndani ya hema.”