Genesis 19:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wale wageni wakanyosha mikono yao, wakamvuta Loti ndani ya nyumba na kuufunga mlango.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wanaume wale waliokuwa ndani wakanyoosha mikono yao, wakamvuta Lutu ndani ya nyumba na kuufunga mlango.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wale watu wakanyosha mikono yao, wakamwingiza Lutu kwao nyumbani, wakaufunga mlango.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wale wageni wakanyosha mikono yao, wakamvuta Loti ndani ya nyumba na kuufunga mlango.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini watu wale waliokuwa ndani wakanyoosha mkono wakamvuta Loti ndani ya nyumba na kufunga mlango.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini watu wale waliokuwa ndani wakanyoosha mkono wakamvuta Lutu ndani ya nyumba na kufunga mlango.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wale watu wakanyosha mikono yao, wakamwingiza Lutu kwao nyumbani, wakaufunga mlango.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wale wageni wakanyosha mikono yao, wakamvuta Loti ndani ya nyumba na kuufunga mlango.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wale watu walipoitoa mikono yao, wakamwingiza Loti kwao nyumbani, kisha wakaufunga mlango.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wale watu wakanyosha mikono yao, wakamwingiza Lutu kwao nyumbani, wakaufunga mlango.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wale wageni wakanyoosha mikono yao, wakamukokotea Loti ndani ya nyumba na kufunga mulango.