Genesis 19:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa maana kilio kilichomfikia Mwenyezi-Mungu dhidi ya wakazi wa hapa ni kikubwa mno, naye ametutuma tuje kuwaangamiza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu tunapaangamiza mahali hapa. Kilio kwa Mwenyezi Mungu dhidi ya watu wa hapa ni kikubwa kiasi kwamba ametutuma kupaangamiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana tutapaharibu sisi mahali hapa, kwa kuwa kilio chake kimezidi mbele za Bwana; naye Bwana ametupeleka tupaharibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa maana kilio kilichomfikia Mwenyezi-Mungu dhidi ya wakazi wa hapa ni kikubwa mno, naye ametutuma tuje kuwaangamiza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu tunapaangamiza mahali hapa. Kilio kwa BWANA dhidi ya watu wa hapa, ni kikubwa kiasi kwamba ametutuma kupaangamiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu tunapaangamiza mahali hapa. Kilio kwa bwana dhidi ya watu wa hapa ni kikubwa kiasi kwamba ametutuma kupaangamiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana tutapaharibu mahali hapa, kwa kuwa kilio chake kimezidi mbele za BWANA; naye BWANA ametutuma tupaharibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa maana kilio kilichomfikia Mwenyezi-Mungu dhidi ya wakazi wa hapa ni kikubwa mno, naye ametutuma tuje kuwaangamiza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani sisi tutapaangamiza mahali hapa; kwani makelele yao ni makubwa masikioni mwake Bwana, kwa hiyo Bwana ametutuma, tupaangamize.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana tutapaharibu sisi mahali hapa, kwa kuwa kilio chake kimezidi mbele za BWANA; naye BWANA ametupeleka tupaharibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana kilio kilichomufikia Yawe juu ya wakaaji wa hapa ni kikubwa sana, naye ametutuma tukuje kuwaangamiza.”