Genesis 19:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Harakisha! Kimbilia huko, nami sitafanya lolote mpaka utakapowasili huko.” Hivyo mji huo ukaitwa Soari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote hadi ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hima, ujiponye huko, maana siwezi kufanya neno lo lote, hata uingiapo humo. Kwa hiyo jina la mji ule likaitwa Soari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Harakisha! Kimbilia huko, nami sitafanya lolote mpaka utakapowasili huko.” Hivyo mji huo ukaitwa Soari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lo lote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hima, ujiponye huko, maana siwezi kufanya neno lolote, hadi uingiapo humo. Kwa hiyo jina la mji ule likaitwa Soari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Harakisha! Kimbilia huko, nami sitafanya lolote mpaka utakapowasili huko.” Hivyo mji huo ukaitwa Soari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jihimize kuukimbilia! Kwani siwezi kufanya lo lote, mpaka ufike humo. Kwa hiyo wakaliita jina la mji huo Soari (Mdogo).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hima, ujiponye huko, maana siwezi kufanya neno lo lote, hata uingiapo humo. Kwa hiyo jina la mji ule likaitwa Soari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Harakisha! Kimbilia kule, nami sitafanya lolote mpaka utakapofika kule.” Hivyo muji ule ukaitwa Soari.