Genesis 19:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asubuhi na mapema, Abrahamu alikwenda mahali alipokuwa amesimama mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asubuhi na mapema siku iliyofuata, Ibrahimu akaamka na kurudi mahali pale aliposimama mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu akatoka asubuhi kwenda mahali aliposimama mbele za Bwana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asubuhi na mapema, Abrahamu alikwenda mahali alipokuwa amesimama mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asubuhi na mapema siku iliyofuata, Abrahamu akaamka na kurudi mahali pale aliposimama mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asubuhi na mapema siku iliyofuata, Ibrahimu akaamka na kurudi mahali pale aliposimama mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu akatoka asubuhi kwenda mahali aliposimama mbele za BWANA,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asubuhi na mapema, Abrahamu alikwenda mahali alipokuwa amesimama mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake Aburahamu akaamka na mapema kwenda pale, aliposimama mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu akatoka asubuhi kwenda mahali aliposimama mbele za BWANA,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asubui mapema, Abrahamu alikwenda pahali alipokuwa akisimama mbele ya Yawe.