Genesis 19:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Loti akawasihi sana, mwishowe wakakubali, wakageuka na kuingia nyumbani kwake. Loti akawaandalia karamu, akaoka mikate isiyotiwa chachu, wakala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini aliwasihi sana hadi wakaingia nyumbani mwake. Akawaandalia chakula, mikate isiyotiwa chachu, nao wakala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawasihi sana, nao wakaja, wakaingia nyumbani mwake. Akawafanyia karamu, akawapikia mikate isiyochachwa nao wakala.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Loti akawasihi sana, mwishowe wakakubali, wakageuka na kuingia nyumbani kwake. Loti akawaandalia karamu, akaoka mikate isiyotiwa chachu, wakala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini akasisitiza kwa nguvu kwamba waingie pamoja naye nyumbani kwake. Akawaandalia chakula, mikate isiyotiwa chachu, nao wakala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini akasisitiza kwa nguvu kwamba waingie pamoja naye nyumbani kwake. Akawaandalia chakula, mikate isiyotiwa chachu, nao wakala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawasihi sana, nao wakaja, wakaingia nyumbani mwake. Akawafanyia karamu, akawapikia mikate isiyochachwa nao wakala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Loti akawasihi sana, mwishowe wakakubali, wakageuka na kuingia nyumbani kwake. Loti akawaandalia karamu, akaoka mikate isiyotiwa chachu, wakala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipowahimiza sana, mpaka wakifikia kwake; walipoingia nyumbani mwake, akawatengenezea cha kunywa, akachoma mikate isiyochachwa, nao wakala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawasihi sana, nao wakaja, wakaingia nyumbani mwake. Akawafanyia karamu, akawapikia mikate isiyochachwa nao wakala.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Loti akawasihi sana, kwa mwisho wakakubali, wakageuka na kuingia katika nyumba yake. Loti akatayarisha karamu, akachoma mikate isiyotiwa chachu, wakakula.