Genesis 19:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Loti aliogopa kuishi mjini Soari, kwa hiyo akauhama mji huo, yeye pamoja na binti zake wawili, wakaenda kuishi pangoni, milimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lutu na binti zake wawili waliondoka Soari na kufanya makao yao kule milimani, kwa maana aliogopa kukaa Soari. Yeye na binti zake wawili waliishi katika pango.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Loti aliogopa kuishi mjini Soari, kwa hiyo akauhama mji huo, yeye pamoja na binti zake wawili, wakaenda kuishi pangoni, milimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Loti na binti zake wawili waliondoka Soari na kufanya makao yao kule milimani, kwa maana aliogopa kukaa Soari. Yeye na binti zake wawili waliishi katika pango.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lutu na binti zake wawili waliondoka Soari na kufanya makao yao kule milimani, kwa maana aliogopa kukaa Soari. Yeye na binti zake wawili waliishi katika pango.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Loti aliogopa kuishi mjini Soari, kwa hiyo akauhama mji huo, yeye pamoja na binti zake wawili, wakaenda kuishi pangoni, milimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Loti akatoka Soari, akapanda milimani kukaa huko pamoja na wanawe wawili wa kike, kwani aliogopa kukaa mle Soari; kwa hiyo akakaa pangoni yeye pamoja na wanawe wawili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Loti aliogopa kuishi katika muji wa Soari, kwa hiyo akahama toka muji ule, yeye pamoja na wabinti zake wawili, wakakwenda kuishi ndani ya pango kwenye milima.