Genesis 19:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, tumlevye baba kwa divai, ili tupate kulala naye na kudumisha uzawa kwa kupata watoto kwake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumnyweshe baba yetu mvinyo, kisha tukutane naye kimwili ili tuhifadhi uzao wetu kupitia baba yetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, tumlevye baba kwa divai, ili tupate kulala naye na kudumisha uzawa kwa kupata watoto kwake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumnyweshe baba yetu mvinyo kisha tukutane naye kimwili ili tuhifadhi uzao wetu kupitia baba yetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumnyweshe baba yetu mvinyo kisha tukutane naye kimwili ili tuhifadhi uzao wetu kupitia baba yetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, tumlevye baba kwa divai, ili tupate kulala naye na kudumisha uzawa kwa kupata watoto kwake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya! Na tumlevye baba yetu kwa mvinyo, kisha tulale naye, tupate kwa baba yetu mimba za kuukalisha mlango!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, tumuleweshe baba kwa divai, kusudi tupate kulala naye na kudumisha uzao kwa kupata watoto kwa njia yake.”