Genesis 19:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule binti wa kwanza akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Moabu. Huyo ndiye baba wa Wamoabu hadi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Binti mkubwa akamzaa mwana, akamwita jina Moabu; ndiye baba wa Wamoabu hata leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule binti wa kwanza akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Moabu. Huyo ndiye baba wa Wamoabu hadi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Binti mkubwa akamzaa mwana, akamwita jina lake Moabu; ndio baba wa Wamoabu hata leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Binti mkubwa akamzaa mwana, akamwita jina lake Moabu; ndio baba wa Wamoabu hata leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule binti wa kwanza akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Moabu. Huyo ndiye baba wa Wamoabu hadi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mkubwa alipozaa mtoto mume akamwita jina lake Moabu (Wa baba), naye ni baba yao Wamoabu mpaka leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule binti wa kwanza akazaa mutoto mwanaume, akamwita Moabu. Huyo ndiye baba wa Wamoabu mpaka leo.