Genesis 19:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mdogo pia akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Ben-ami. Huyo ndiye baba wa Waamoni hadi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Binti mdogo pia akamzaa mwana, naye akamwita jina Benami; ndiye baba wa Waamoni hata leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mdogo pia akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Ben-ami. Huyo ndiye baba wa Waamoni hadi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Binti mdogo naye pia akamzaa mwana, naye akamwita Benami; ndiye baba wa Waamoni hata leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Binti mdogo naye pia akamzaa mwana, naye akamwita Benami; ndiye baba wa Waamoni hata leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mdogo pia akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Ben-ami. Huyo ndiye baba wa Waamoni hadi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mdogo alipozaa mtoto mume akamwita jina lake Ben-Ami (Mwana wa Kwetu), naye ni baba yao wana wa Amoni mpaka leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mudogo vilevile akazaa mutoto mwanaume, akamwita Beni-Ami. Huyo ndiye baba wa Waamoni mpaka leo.