Genesis 2:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na huo ubavu Mwenyezi-Mungu alioutoa kwa yule mwanamume akaufanya kuwa mwanamke, akamleta kwa huyo mwanamume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Bwana Mwenyezi Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwa ule ubavu alioutoa kwa mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa mwanaume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na huo ubavu Mwenyezi-Mungu alioutoa kwa yule mwanamume akaufanya kuwa mwanamke, akamleta kwa huyo mwanamume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwenye ule ubavu aliouchukua kutoka kwa huyo mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa huyo mwanaume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana Mwenyezi Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwenye ule ubavu aliouchukua kutoka kwa huyo mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa huyo mwanaume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na huo ubavu Mwenyezi-Mungu alioutoa kwa yule mwanamume akaufanya kuwa mwanamke, akamleta kwa huyo mwanamume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huo ubavu, aliomtoa Adamu, Bwana Mungu akauumba kuwa mke, akampeleka kwake Adamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na huo ubavu Yawe Mungu alioutoa kwa yule mwanaume akaufanya kuwa mwanamuke, akamuleta kwa huyo mwanaume.