Genesis 20:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena Abimeleki akazidi kumwuliza, “Ni kitu gani kimekusukuma kufanya hivyo?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abimeleki akamuuliza Ibrahimu, “Ulikuwa na kusudi gani kufanya hivi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abimeleki akamwambia Ibrahimu, Umeona nini hata ukatenda jambo hili?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena Abimeleki akazidi kumwuliza, “Ni kitu gani kimekusukuma kufanya hivyo?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abimeleki akamwuliza Abrahamu, “Ulikuwa na kusudi gani kufanya hivi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abimeleki akamuuliza Ibrahimu, “Ulikuwa na kusudi gani kufanya hivi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abimeleki akamwambia Abrahamu, Umeona nini hata ukatenda jambo hili?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena Abimeleki akazidi kumwuliza, “Ni kitu gani kimekusukuma kufanya hivyo?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abimeleki akamwuliza Aburahamu: Umeona nini ukilifanya jambo hilo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abimeleki akamwambia Ibrahimu, Umeona nini hata ukatenda jambo hili?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena Abimeleki akazidi kumwuliza: “Ni kitu gani kimekusukuma kufanya hivyo?”