Genesis 20:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki akamrudishia Abrahamu mke wake Sara, akampa na kondoo, ng'ombe na watumwa wa kiume na kike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Abimeleki akatwaa kondoo na ng’ombe, na watumwa wa kiume na wa kike, akampa Ibrahimu, na akamrudisha Sara kwa mumewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Abimeleki akatwaa kondoo, na ng'ombe, na watumwa, na wajakazi, akampa Ibrahimu, akamrudishia Sara mkewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki akamrudishia Abrahamu mke wake Sara, akampa na kondoo, ng'ombe na watumwa wa kiume na kike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Abimeleki akatwaa kondoo na ng'ombe, na watumwa wa kiume na wa kike akampa Abrahamu, akamrudisha Sara kwa mumewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Abimeleki akatwaa kondoo na ng’ombe, na watumwa wa kiume na wa kike akampa Ibrahimu, akamrudisha Sara kwa mumewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Abimeleki akatwaa kondoo, na ng'ombe, na watumwa, na wajakazi, akampa Abrahamu, akamrudishia Sara mkewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki akamrudishia Abrahamu mke wake Sara, akampa na kondoo, ng'ombe na watumwa wa kiume na kike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Abimeleki alipochukua mbuzi na kondoo na ng'ombe na watumwa wa kiume na wa kike, akampa Aburahamu, akamrudishia mkewe Sara,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Abimeleki akatwaa kondoo, na ng’ombe, na watumwa, na wajakazi, akampa Ibrahimu, akamrudishia Sara mkewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki akamurudishia Abrahamu muke wake Sara, akamupa kondoo, ngombe na watumwa na wajakazi.