Genesis 21:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe. Haiwezekani kabisa mtoto wa mjakazi kurithi pamoja na mwanangu Isaka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Sara akamwambia Ibrahimu, “Mwondoe mjakazi huyu mtumwa pamoja na mwanawe, kwa kuwa mwana wa mjakazi huyo kamwe hatarithi na mwanangu Isaka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe. Haiwezekani kabisa mtoto wa mjakazi kurithi pamoja na mwanangu Isaka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sara akamwambia Abrahamu, “Mwondoe mwanamke huyu mtumwa na mwanawe, kwa kuwa mwana wa mwanamke mtumwa kamwe hatashiriki urithi pamoja na mwanangu Isaki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sara akamwambia Ibrahimu, “Mwondoe mwanamke huyo mtumwa pamoja na mwanawe, kwa kuwa mwana wa mwanamke mtumwa kamwe hatarithi pamoja na mwanangu Isaka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo akamwambia Abrahamu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe. Haiwezekani kabisa mtoto wa mjakazi kurithi pamoja na mwanangu Isaka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia Aburahamu: Mfukuze huyu kijakazi pamoja na mwanawe! Kwani mwana wa huyu kijakazi hatapata urithi pamoja na mwanangu Isaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Sara akamwambia Abrahamu: “Fukuza mujakazi huyu na mwana wake. Haiwezekani kabisa mutoto wa mujakazi kurizi pamoja na mwana wangu Isaka.”