Genesis 21:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Abrahamu akachukua kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki nao wawili wakafanya agano baina yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Ibrahimu akaleta kondoo na ng’ombe, akampa Abimeleki, nao watu hawa wawili wakafanya mapatano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu akatwaa kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki, na hao wawili wakafanya mapatano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Abrahamu akachukua kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki nao wawili wakafanya agano baina yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Abrahamu akaleta kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki, nao watu hawa wawili wakafanya mapatano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Ibrahimu akaleta kondoo na ng’ombe akampa Abimeleki, nao watu hawa wawili wakafanya mapatano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu akatwaa kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki, na hao wawili wakafanya mapatano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Abrahamu akachukua kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki nao wawili wakafanya agano baina yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Aburahamu akachukua mbuzi na kondoo na ng'ombe, akampa Abimeleki; hivyo ndivyo, wao wawili walivyofanya agano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu akatwaa kondoo na ng’ombe akampa Abimeleki, na hao wawili wakafanya mapatano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Abrahamu akatwaa kondoo na ngombe akamupa Abimeleki nao wawili wakafanya agano kati yao.