Genesis 21:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu akatenga wanakondoo wa kike saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu akatenga kondoo jike saba kutoka kwa kundi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu akaweka wana kondoo wa kike saba peke yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu akatenga wanakondoo wa kike saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abrahamu akatenga kondoo wake saba kutoka kwenye kundi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibrahimu akatenga kondoo wa kike saba kutoka kwenye kundi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu akawaweka wana-kondoo majike saba peke yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu akatenga wanakondoo wa kike saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aburahamu akaweka wana kondoo saba peke yao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu akaweka wana kondoo wa kike saba peke yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abrahamu akatenga wana-kondoo dike saba.