Genesis 21:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki akamwuliza Abrahamu, “Kwa nini unawatenga hao wanakondoo wa kike saba?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abimeleki akamuuliza Ibrahimu, “Ni nini maana ya hawa kondoo jike saba uliowatenga peke yao?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abimeleki akamwambia Ibrahimu, Hawa wana kondoo wa kike saba, uliowaweka peke yao, maana yake nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki akamwuliza Abrahamu, “Kwa nini unawatenga hao wanakondoo wa kike saba?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abimeleki akamwuliza Abrahamu, “Ni nini maana ya hawa kondoo wa kike saba uliowatenga peke yao?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abimeleki akamuuliza Ibrahimu, “Ni nini maana ya hawa kondoo wa kike saba uliowatenga peke yao?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abimeleki akamwuliza Abrahamu, Hawa wana-kondoo saba majike, uliowaweka, maana yake ni nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki akamwuliza Abrahamu, “Kwa nini unawatenga hao wanakondoo wa kike saba?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye Abimeleki akamwuliza Aburahamu: Hawa wana kondoo saba ukiwaweka peke yao, ni wa nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abimeleki akamwambia Ibrahimu, Hawa wana kondoo wa kike saba, uliowaweka peke yao, maana yake nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki akamwuliza Abrahamu: “Kwa nini unawatenga hao wana-kondoo dike saba?”